Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimvalisha Jaji Mkuu Msataafu wa
Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano
Daraja la Pili katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam. (Picha zote na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimvalisha Bw.Mabrouk Jabu Makame
Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili katika hafla
iliyofanyika jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Bw.Damian Zefrini Lubuva
baada ya kumvalisha Nishani ya
kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili katika hafla iliyofanyika
jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam katika kusherehekea miaka 51 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimvalisha nishani Bw.Aboud Talib Aboud
wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano
Daraja la Tatu katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam jana ikiwa
ni kusherehekea miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akivalisha Nishani Bw,Mohammed Seif
Khatibu wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya
Muungano Daraja la Tatu katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam jana ikiwa ni katika kusherehekea miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimvalisha Cpl Laura Philip
Mushi Nishani ya Ushupavu wakati wa utoaji wa Nishani ya kumbukumbu ya
miaka 50 ya Muungano Madaraja mbali mbali katika hafla iliyofanyika jana
viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa Wananchi na
Viongozi walioteuliwa kutunikiwa nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano
wa madaraja mbali mbali wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
kabla ya kutunikiwa nishani zao,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) na makamo wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe za utoaji
wa nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa madaraja mbali
mbali katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam jana,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakisimama wakati
wimbo wa taifa ukipigwa baada ya kumalizika hafla ya sherehe ya utoaji wa
Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili,Tatu na Nne jana
katika viwanja vya Ikulu Jijini Dares Salaam,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein na Makamo wa Rais wa jamhuri ya Muungano Dk.Mohammed gharib Bilali pamoja
na Viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika
hafla ya sherehe ya utoaji wa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano
Daraja la Pili,Tatu na Nne jana katika viwanja vya Ikulu Jijini Dares Salaam
Miongoni mwa Viongozi na
Wananchi walioteuliwa kutunikiwa nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya
Muungano wa madaraja mbali mbali wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam kabla ya kutunikiwa nishani zao ikiwa ni katika kusherehekea miaka 51 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar jana.
No comments:
Post a Comment