Advertisements

Saturday, May 2, 2015

POLISI ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU

Mratibu wa Mafunzo ya Haki za Binadamu kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi.Jina Mwinyi Waziri akiwakaribisha Maofisa Polisi katika Mafunzo ya Haki za Binadamu kwa Jeshi la Polisi .
Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC Bi.Harusi Miraji Mpatani akimkaribisha Mgeni Rasmi Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame katika Mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi juu ya umuhimu wa kutunza Haki za Binadamu.
Mgeni Rasmi Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akifungua Mafungua Rasmi Mafunzo kwa Maofisa Polisi walioshiriki katika Mafunzo ya Haki za Binadamu katika Ofisi za ZLSC Migombani Zanzibar.
Maofisa wa Jeshi la Polisi Zanzibar wakifuatilia kwa makini Mafunzo yanayoendelea katika Kituo cha Huduma za Sheria juu ya umuhimu wa utunzaji wa Haki za Binadamu katika utekelezaji wa Majukumu ya Kipolisi
Picha ya pamoja

No comments: