Hapa akipelekwa eneo ambalo ameiba baada ya kukamatwa wakati anakimbia eneola mtaa wa Uhuru, Mwenge jijini Dar.
Kibaka akiwa amekula kichapo cha maana baada ya kukamatwa na Laptop za wizi.
Mama Aliyevaa Kilemba aliyemshika mtu anayesemekana ni mwizi akitoa ufafanuzi kwa majirani wa eneo hilo leo kuhusu wizi ulivyotokea katika mtaa wa uhuru eneo la Mwenge jijini Dar
Laptop ambazo alikuwa amekamatwa nazo
Kibaka akielezea kabla ya wananchi wenye hasira kali hawajaanza kumpa kichapo
Hapa ndipo alipo banjua kabla ya kuiba
Hizi ndizo Nyenzo zake alizokuwa akitumia wakati wa uharifu wake..
Picha na Dar es salaam yetu Blog
3 comments:
Yaani hii tabia ya wananchi kujichukulia sheria mikononi inakera sana. Inabidi kupigiwa kelele na itokomezwe. Muhalifu is innocent until proven guilty.Yaani Wadanganyika tulivyokuwa wajinga tuko radhi kumpiga kibaka ambaye amekwiba pesa kidogo wakati Mafisadi wanaachiwa na wanatembea mitaani hivi hivi. Wanachi wala hawaoni uchungu . Mungu isaidie Tanzania yetu!
Jamani viongozi waku wapi? Bungeni watu wanaongeaga vitu gani?
wakampige lowasa huko yeye ndio chanzo mpaka vijana hawa wanaiba
Post a Comment