ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 1, 2015

MBIO ZA URAISN 2015; STEPHEN WASIRA NAYE ATANGAZA NIA AKIWA MWANZA

Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza wakati akitangaza nia ya kuwania Urasi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili 

Mei 31, 2015. Wasira anakuwa mtu wa tatu kutangaza nia hiyo, akitanguliwa na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere na Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa.
Wasira akisalimiana na Mbunge wa Tarime
Wasira akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza

1 comment:

Anonymous said...

Mbona Mheshimiwa ajaeleza ni muda gani amekuwa kwenye serikali na jipya gani amefanyia njii hii??? Mnatetea amani na umoja ili muendelee kula kuku kwa mrija?