Bwana na Bibi harusi Daisy and Dr. Asanterabi Malima wakipata ukodak moment kabla ya kuingia ukumbini kwenye sherehe ya kuwakaribisha iliyofanyika mjini Boston, Massachusetts USA.
Daisy and Dr. Asanterabi wakiendelea na ukodak moment. Sherehe hiyo iliandaliwa na familia ya marehemu Professor Kighoma Malima na marafiki zao. Harusi yao ilishafanyika siku zilizopita Dar es Salaam Tanzania.
Daisy ni mtoto wa Mh. Dr. Asha-Rose Migiro na Dr. Asanterabi ni mtoto wa marehemu Professor Kighoma Malima.
Maharusi wapya wakiwa kwenye nyuso za furaha huku wakiendelea na ukodak moment kabla ya kuingia ukumbini
Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo hapa




No comments:
Post a Comment