ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 15, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA MKUTANO WA 25 WA KAWAIDA WA UMOJA WA AFRIKA JIJINI JOHANNESBURG

2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongzi wengine wa Umoja wa Afrika wakiimba wimbo wa umoja huo katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida June 14, 2015
3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Dkt.MwinyihajiMakame Mwadini na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi anachama wa Umoja wa Afrika June 14, 2015
4
Wajumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi anachama wa Umoja wa Afrika June 14, 2015
PICHA ZOTE NA IKULU

No comments: