ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 30, 2015

Rais Kikwete awapa Futari Watoto Yatima

Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu(picha na Freddy Maro
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni.

1 comment:

Anonymous said...

ni nzuri sana unavyofanya mkuu wetu na Allah akubarik ka hilo but fikiria pia ni vizuri ukamchukua mtoto mmoja au wawilli au hata watatu ukawalea ndo uislamu unavyosema hivi si leo watu kuwapa futari na kuwajengea nyumba za mayatima na misikiti,watu wakae na kuisoma na kuijua na kufuata dini inavyosema.

watoto hawa wamekosa na ni pengo kubwa kwa kukosa kuwa na mzazi mmoja au wote wawili so cha muhimu na ku wafariji mtu unachukua mmoja hata wawili au watatu na kuwalewa kama wana wako bila kuwabaghua wala kuwabughuzi na utapata radhi zako hapa duniani na kesho akhera mbele ya Allah.