Advertisements

Thursday, July 30, 2015

ALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CCM. ESTER BULAYA,AMEPOKELEWA NA MAELFU YA WAKAZI WA BUNDA


Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kupitia vijana (ccm) Ester Bulaya, amepokewa na maelfu ya wakazi wa Bunda  baada ya kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha demokrasia na mendeleo CADEMA na kudai tayari amechukua na kurudisha fomu kwa ajili ya kuwania Ubunge wa jimbo la Bunda mjini kupitia chama hicho na kuahidi kushirikiana na wananchi kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi bila kujali itikadi ya vyama na kusisitiza hataweza kuwaangusha wanabunda na watanzania wote.
Bulaya akipokelewa nje kidogo ya mji wa Bunda

Mtangazaji wa Redio Free Afrika, Fedrick Bundara, ambaye ametangaza kugombea ubunge jimbo jipya la Ushetu  naye  pia  alikuwepo
Lembeli akikalibishwa   Bunda
Hamasa ya mapokezi 
Bulaya  akijiandaa kushuka kuingia viwanja vya Stend  ya  zamani  ya Bunda
Karibu




Wananchi wakifatilia mkutano wa CHADEMA
Mwenyekiti wa CHADEMA  mkoa wa Mara,Vicent Nyerere akizungumza kwenye  mkutano  huo


Bulaya akizungumza na wananchi
Bulaya akiwa na Halima Mdee  ambaye ni Mwenyekiti  wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA Taifa (BAWACHA) pamoja na viongozi wengine
Nyerere akimkaaribisha Mdee  kuzungumza


No comments: