ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 27, 2015

HAPPY BIRTHDAY

Ernest Meza wa New York
Timu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku yako ya kuzaliwa

2 comments:

Anicetus said...


happy birthday Mr Meza: nakuomembea mazuri yenye furaha na upendo.

Anonymous said...

Mezaaaa, kaka una roho nzuri mnoooooo! Huchagui hubagui, Mungu akubariki katika ckukuu yako ya kuzaliwa. Akuongoze katika kila jambo na akuepushe na mabaya yooote. Uendelee kuwa na roho ya UTU, UPENDO NA AMANI.

mad respect for you Meza. Happy Birthday