ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 27, 2015

PICHA ZINGINE ZA KUMUAGA MHE. LIBERATA MULAMULA KUTOKA TEMBAPHOTO JITIRIRISHE HAPA

 Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa hotuba ya kuwaaga Watanzania wa Marekani waliokuja kutoka kila pembe ya Marekani siku ya Jumamosi Julai 25, 2015 nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
   Maafisa wa Ubalozi wa kudumu wa Umoja wa mataifa New York wakipata ukodak wa pamoja na Mhe. Liberata Mulamula, Ukiacha maafisa hao pia kulikuwa na Naibu mweka hazina wa New York Tanzania Community Dr Temba na Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida. Kwa picha zaidi za siku hiyo unaweza kutembelea hapa. http://tembaphoto.com/index.php?user=7444&portfolio=1&sphoto=1


No comments: