Advertisements

Tuesday, July 28, 2015

KILIMANJARO STUDIO YATEMBELEWA NA WAGENI


 Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano siku ya Jumatatu July 27, 2015 ndani ya studio ya Kilimanjaro Beltsville, Maryland na mtangazaji wa mahiri wa Radio Mubelwa Bandio katika kipindi chake cha Jukwaa Langu kinachorushwa Live kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12jioni mpaka saa 2 usiku.
 Mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio akipata picha ya kumbu kumbu na Mhe. Balozi Amina Salum Ali ambaye alishika namba mbili katika kinyang'anyiro cha kubeba bendera ya CCM katika kiti cha Urais.
 Rose Chitalah mtangazaji wa Radio wa siku nyingi, Radio One, Times FM akipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Amina Salum Ali ndani ya studio ya Kilimanjaro.
 Balozi Amina Salum Ali na mwanae katika picha ndani ya Studio ya Kilimanjaro.
Watangazaji wakipata picha ya upendeleo

No comments: