ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 20, 2015

Lindi Kumekucha DAUDI MSUNGU achukua fomu za Ubunge

Majogoo yamewika Lindi Mjini,
Kada mkereketwa wa CCM Ndugu Daudi Paulo Msungu mapema jana 19 Julai 2015 alifika makao ya CCM mjini Lindi kuchukua fomu kujaza na kuirudisha
kwa kuwania kiti cha ubunge wa jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya ridhaa ya chama cha Mapinduzi (CCM).

No comments: