Thursday, July 9, 2015

SIKILIZA MAPIGO YA "DUNDIKA" NDANI YA ALBAMU YA "PIGA MOYO KONDE" KUTOKA KWA MSAANI ERICA


Msaani Erica Lulakwa ambaye kwa hivi sasa anaishi na kufanya shughuli za muziki nchini Marekani ameweza kutoa Albamu yake ya kwanza inayo kwenda kwa jina la  “PIGA MOYO KONDE.” Album ya Piga Moyo Konde  ilianza kupatikana rasmi mwezi wa Juni 30, 2015 na kuanza kupatika katika vianzo vya miziki kama Google Play na Itune. Baadhi ya nyimbo ambazo zimeshaanza kusikilizwa kwa wingi  duniani ni kibao cha “DUNDIKA” ambacho kina midundo ambayo inaendana na jina la wimbo wenyewe na utamu usio na mwisho.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Erica unaweza kumpata kutumia:-

No comments: