Advertisements

Monday, August 24, 2015

94 WAHITIMU ELIMU YA MSINGI SHINNING SCHOOL SONGWE MBEYA

Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya kimataifa ya Shinning School Songwe Mbeya wakiwa katika maandamano ikiwa ni sehemu ya kufurahia tukio hilo mwishoni mwa wiki mkoani hapa (Picha Jamiimojablog) 
Wazazi wakiwa katika nyuso za furaha baada ya watoto wao kuhitimu elimu ya msingi katika shule hiyo 
MKurugenzi Mtendaji wa shule ya kimataifa ya Shinning School iliyopo nje kidogo ya mji wa mbeya eneo la songwe kiwandani Amani Kajuna ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya akizungumza katika hafla hiyo.
Mmoja wa wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi 2015 shule ya kimataifa ya Shinning School akionesha ushahidi wa cheti chake mara baada ya kutunukiwa na uongozi wa shule hiyo katika mahafali hayo ambayo yamefanyika shuleni hapo. 
Wadau poleni na hekaheka za uchaguzi....pokeeni cods 
Hongera kwa kuhitimu elimu ya msingi. 

1 comment:

Anonymous said...

Is this a joke? graduation at that level and in what?