ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 9, 2015

DESIGNER KATONA AZINDUA STYLE MPYA YA MAKOTI (ZIP KOTI)


Ni usiku wa kuamkia leo Jumapili ya tarehe 9, August 2015 ambapo 'Regence Hotel' iliopo Mikocheni maeneo ya kwa Nyerere Jijini Dar es salaam kilinuka vilivyo na 'Fashion Show' Iliyo balikiwa jina la 'ZIP KOTI' design mpya kutoka kwa Designer wa mavazi ambaye anachipkia kwa kasi hapa home Tz, Didas Ktona a.k.a Katona ikiwa aliwahi kufanya kazi na mastaa wakubwa kama Mrisho Mpoto, Mzee Yussuf nk. Hata hivyo Fashion Show ilihudhuriwa na Designers na wasanii wakubwa kama Asya Idarous mwigizaji maarufu kwa jina la Mtunis, Mernyo nk. Kulikuwa na model wa ukweli ambao walipendeza kwa namna moja amanyine kutokana na mavazi amabayo Designer Katona alikuwa ameyadesign kwa ajili ya maonesho hayo. Namna hii kwenye picha ndivyo mambo yalivyo kuwa. ( Picha na Victor Petro)
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

1 comment:

Anonymous said...

Are these people serious?