Advertisements

Saturday, August 22, 2015

KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWATAKA VIONGOZI WA SIASA NA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA KAMPENI

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza na waandishi wa habari wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati akitowa Taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu hivi karibuni kuwataka Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi kufanya kampeni kwa Amani na Utulivu kwa kipindi chote na wakati wa kutolewa kwa matokeo ya Uchaguzi. mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar 
Makamanda wa Jeshi la Polisi Zanzibar wakifuatilia mkutano huo na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar.
Kamishna akizungumza wakati wa mkutano huo wa kutoa Taarifa kwa Waandishi wa habari Zanzibar katika ukumbi wa Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar.
Waandishi wakifuatilia taarifa hiyo ya Kamishna wa Polisi Zanzibar.

No comments: