Advertisements

Saturday, August 29, 2015

MKUTANO WA UKAWA JANGWANI




Ahimidiwe MUNGU aletaye Wokovu. Ashukuriwe MUNGU atupaye yele tumwombao. Atukuzwe MUNGU atazamaye kila Mnyonge na kumfariji.
Posted by UKAWA Seattle Washington STATE on Saturday, August 29, 2015

5 comments:

Anonymous said...

UKAWA Seattle!!!! mmmmh.......I have never heard of it in Seattle.

Anonymous said...

sasa mabidiliko ni yapi, video yenyewe imechanganywa na video ya uprising nchini ukraine!!!! wewe luka usiwe unatupostia vitu havina maana sasa.

Anonymous said...

Very impressive. Tumechoka UMASKINI.

Unknown said...

Hizo videos tricks zanini jamani ni kudijanganya nyinyi wenyewe binafsi alafu siku ya uchaguzi mnashindwa mnaanza kuliakulia aah mbona watu walikuwa wengi kwenye mikutano kumbe walikuwa watu wa picha tu. Tunaiona mikutano ya magufuli hakuna ubishi ni watu hasa kila anapo simama kuhutubia hakuna video trick wala nini . Naungana na kauli ya yeye mwenyewe magufuli kwamba hao watu wa ukawa ni waigizaji zaidi wa mabo yote wanayoyasema na wanayofanya mengi hayana ukweli wowote zaidi ya kuwalahi watanzania kwa tamaa zao za madaraka.

mchizi said...

Hakuna video tricks hapo,that's the real deal.