Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma tayari kuhutubia mkutano wa kampeni.
Wananchi wa Tunduma wakizingira gari la mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano Tunduma.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akizungumza kabla mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John pombe magufuli hajahutubia wakazi wa Tunduma.
Wakazi wa Tunduma wakiwa wamefurika kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Tunduma .
Ni shamra shamra kila kona Tunduma
Hivi ndivyo Tunduma ilivyofurika
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la tunduma kupitia CCM Frank Sichalwe akitaja mambo ya msingi muhimu ambayo angependa wananchi wa Tunduma wayapate, alisema wananchi hao wanahitaji huduma bora ya afya, magari ya wagonjwa, zimamoto, kiwanja cha michezo, kushoto ni mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiandika hayo mahitaji.
1 comment:
Tshirt tunapewa fedha tunapewa tunakunywa na kula tutavaa sana na leteni magari ya kutubeba hakuna shida tutawashangilia sana. Mimi nishapata Tshirt r na kofia taslimu elfu kumi mara 2 naendelea kupaaza sauti. Tarehe 25 nitaamka mapema kuwahi nachokitaka.
Post a Comment