Advertisements

Monday, August 3, 2015

MAMAKU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015. Balozi Mgaza anakwenda nchini Saud Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. Picha na OMR

No comments: