ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 9, 2015

MEMBE AZUNGUMZA SIKU YA NANE NANE AWAMWAGIA SIFA RAIS KIWETE NA MAGUFULI HUKU AKIMWITA JK SHEMEJI

7 comments:

Anonymous said...

Mimi kinachonishangaza ni kwa nini ccm wameanza kampani mapema, na tena kwa kutumia fedha za serikali? Kwa mfano raisi kwenda kufungua barabara ambazo watanzania wote timelipia kwa kodi zetu, hii si sawa, na NEC wameniambiwa wanyamaze tuuuu. Mkifanya hivyo nyie ccm mjue nchi haitatawalika

Anonymous said...

Sasa ulitaka barabara na miradi ya maendeleo isifunguliwe?

Anonymous said...

Chizi wewe lamba ndimu magufuli ndiye aliye simamia barabara kujengwa hafanyi kampeni kazi yenu ukawa kulalamika tu katebgenezeni kadi za wamasai wote waingie Chadema , ,,,,, CCM ni ileile mtaburuzwa tu chama cha ukoo na ukabila hakina nafasi,,,

Anonymous said...

La msingi wagombea washajulikana NEC ruhusuni debe lianzeeh.

Anonymous said...

Bara Bara mbona cha mtoto,ccm mkitaka ata mjenge wodini za akina mama tanzania nzima,mpeleke madawati shule zote za serikali,muongeze mishahara ya walimu,manesi,police na watumishi wengine wa serikali ambao mishahara yao haiendani ukali wa maisha ya sasa,ccm mmechelewa mabadiliko ni lazima watanzania wamechoka na Kama mnafikiri ni muvi basi subirini.

Anonymous said...

Barabara yenyewe walioifungua ni nyembamba kama njia ya panya, huu ni wakati wa kujenga double line na kuachana na single line ambazo ndio zinazo changia ongezeko la ajali Watanzania sasa tufungue macho tusidanganyike na mifumo ya 1960s

Unknown said...

Hiyo hiyo njia ya panya kama inewawezesha wanachi kusafiri kwa saa moja sehemu ambayo wakitumia masaa sita basi hayo ni maendeleo makubwa na wanahaki ya kusherekea na nannaimani wanamsherekea magufuli vilevile ni tunu ya wa taifa watanzania kwa sasa. Mifumo ya 1960s ndio ilioifaanya Tanzania taifa lenye amani ya kweli.