ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 10, 2015

MSIKILIZE MWINGULU NCHEMBA AKIPANGA KIKOSI CHA USHINDI CHA CCM


2 comments:

Anonymous said...

Subiri siku ya siku atakuja kukipangua vipi?

Anonymous said...

Ncchemba unapiga debe bila kujua mwelekeo uko wapi! hivi hizo barabara zilizotengenezwa ziko wapi ni chache kuliko unavyodhani. Hiyo timu unayopanga imepitwa na wakati huna jipya. KWAHERINI.

MMEIUZA CHAMA YETU NA WAHUSIKA WAKUU NI NCHEMBA, NAPE, NA MKUBWA WENU WA KAZI JK. BILA KUMSAHAU KINANA KATIBU WETU MKUUU..