Baadhi ya viongozi wa NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo wa kiwa katika moja ya mikutano hiyo kata ya Makuyuni. |
Baadhi ya wakazi wa kata ya Makuyuni wakiwasikiliza viongozi wa chama hicho.(hawako pichani). |
Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha TLP,Yolanda Lyimo akizungumza katika jukwaa la chama cha NCCR-Mageuzi. |
Yolanda Lyimo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya njia Panda. |
Baadhi ya wananchi katika jimbo la Vunjo wakiitikia salamu za vyama vinavyounda UKAWA. |
Kikundi cha sarakasi kikitoa burudani katika mikutano hiyo. |
Baadhi ya wananchi katika kata ya Njia Panda wakifuatilia mkutano wa hadhara uliolenga kumtamburisha mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata hiyo. |
Baadhi ya wananchi katika kata ya Njia Panda. |
Viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi wakicheza mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Njia Panda. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment