ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 26, 2015

UKAWA WAZUIWA KUZINDUA KAMPENI JANGWANI


17 comments:

Anonymous said...

ccm oyeeeeee

Anonymous said...

Makubwa haya
Tutaona na kusikia mengi mwaka huu
Mzee ngombale alisema kuna jambo

Anonymous said...

Sasa sisiemu wanatafuta hasira za wapiga kura hii, ni upuuzi kabisa mbona mna miezi miwili tu kuondoka ama mnataka kuondoka vibaya?

Anonymous said...

WaTanzania na wapenda haki tunaweza kuona ni jinsi gani serikali ya CCM ilivyo na utawala mbovu. Huu ni unyama wa hali ya juu na huyo anayeitwa mwombaji mwingine ni nani ni uongo na kama atakuwepo ni kwamba amenunuliwa tayari na CCM ili autumie kwa kitu ambacho wala sio haki. Kusema ukweli hata tume ya uchaguzi inachangia sana haya mambo na inashirikiana nao. Tutayaona mengi na haya ndio magoli ya mkono mliyoyataka lakini Mungu anajua waTanzania wanavyotaabika ndani ya serikali ya CCM!!!

James Bond said...

Utawala dhalimu wa CCM umefikia mwisho wake..Mtatufanyia mengi lakini mtatoka madhalimu wakubwa nyie

Anonymous said...

Ccm kweli ni wakandamizaji, ingelikuwa ni Kufuli la Pombe wasingemnyima uwanja Mimi sina Chama sipendi Ukawa na sipendi ccm vilele sipendi kuona watu wenye mamlaka fulani wakiwakandamiza wasio na mamlaka. Kwa kitendo hiki cha kinyama kinaashiria kuwa chama tawala ni Chama cha kibedui, kipepari, kibeberu na kifisadi.

Anonymous said...

Hii serikali ya CCM na viongozi wake mbona wanaishiwa hoja kila siku. Nia yao nini? Machafuko? Ubunifu zero, halafu wanajifanya kuwa wao ndio wanastahili kupewa nchi tena. It does not make any sense.

Anonymous said...

ukawa tusichoke kuomba mungu atunusuru na hili ila hata sisi tunasehemu tunakosea kama tulikua hatuna katibu tangia dr slaa atoke huyo katibu mwingine aliye andika barua katokea wapi,? hivyo ni vigezo vilivyo changia kunyimwa uwanja tupunguze asira ikulu yetu hatakama sio mwaka huu basi miaka 5 ijayo.Pepo la ugomvi lish anaza kutunyemelea ndani ya ukawa pesa ya kampeni imekua issue walitegemea Lowasa atatoa lowasa kasema alizotoa ni nyingi sana inabidi ukawa nayo itoe,,,hili nalo tatizo kama kweli wewe mwana ukawa lazima ujue kuna hili tatizo.

Anonymous said...

Hii siyo UKWELI that's a fake letter. Mkutano uko pale pale. ccm are doing whatever they can to confuse wananchi especially wenye mvuto na UKAWA. Grassroots will take down ccm. We did it for Obama and he won for two terms. Thanks goodness for social media. From US to Tanzania ccm is not going to win this time. GUARANTEED. It's all about GRASSROOTS. Please write this down my friend. It's Science. No ubabe wala ubully.

Anonymous said...

Jinsi hii kero za waTanzania itakuwa ndotonkuisha na ESCROWS zitaendelea hadi kilio. Kila waendako utasikia ilani ya chama, tutatekeleza madawa yawepo hospitalini?!! Hahaahh hizi ni ndoto za kusadikika! Mkipewa leo.kwsho matatizo yameanza mtatumaliza jamani. Kero hamziwezi mkiwa ndani ya ilani ya CCM ya kulindana..

Anonymous said...

mbona mnatoa mapovu? sasa kama kuna mtu mwingine anautumia, si muombe siku ingine. achene kulia kama vitoto, komaaa nyie mburura

Anonymous said...

Jumapili niliandika kuhusu mizengwe, niliwasifia CCM kufanikisha mkutano wao mkubwa na furaha na nderemo walizofanya. Ila nikatoa angalizo kuwa upande wa pili nao upewe fursa sawa ukifika wakati wao wa kukutana. Sasa tunashuhudia makatazo ya kila kitu. Demokrasia ya kweli ni Kuwa na same level fields kwa all players. Watawala wa CCM nadhani wanadhihirisha kuishiwa na hoja na kuingiwa na kiwewe cha upinzani. Kuwazuia hawa jamaa ni kuwapa ushindi kirahisi sana kwa kuwa hoja yao kwa wananchi itakuwa ni kuwaambia tu washuhudie kinacho endelea. Shame on all who engage in these none senses.
Watoto wao wanagombea bila kupingwa, wanazuia campaigns. Whats goes down?
Viva opposition.

Unknown said...

ccm wajinga tu hapa wanaikaribisha vita.

Anonymous said...

Na bado CCM watapagawa sana, watabana mwisho wataachia wenyewe kwani wananchi ni wanamaamuzi na nchi yao sio wao tukutane tarehe 25

Anonymous said...

Tanzania imegeuka kuwa North Korea. Wakishaona wamezidiwa, watamuua Lowasa. Stay tuned.

Anonymous said...

Nasikitika saana ndugu zangu malofa wa kitanzania tunaodai mageuzi pamoja. Lakini ikumbukwe kwamba humu ndani ya mageuzi kuna watumishi wa. Mungu na viongozi wasomi waliobobea kwenye siasa. Mtu yeyote anayeshikwa mkono nakuwekwa sehemu huyo kwakweli ndiye Lofa.kwasababu yeye mwenyewe hajiwezi. Lakini yule anayehangaika kivyake,huyo tunamwita mjanja..(.smart)sasa hao wanao zuia mikutano ya ukawa utawaitaje? Kama kweli tunapenda nchi yetu isikumbwe na matatizo y
a kisiasa siku za mbeleni,nivyema wana ccm mkakubali kupumzika. Mkikalia haya mambo ya mimi siwezikufungwa na simba au yanga,iko siku wachezaji wataziuza timu zao nanyi mkatimuliwa kwa mapanga....Kwasababu Huyo Lowassa kama angelipewa dhamana hiyo kupitia ccm,bado timu nzima ya ccm ingekuwa nyuma yake. Ccm kama chama si kibaya, lakini mfumo waliokuwa nao niwaukandamizaji. Na kulindana pindi wanapofanya makosa.watu hawatakiwi kuhama vyama vyao,bali siku ya kupiga kura mchagueni Lowassa... Hata hapa USA ndivyo ilivyo. Kingozi pekee ndiye anayetakiwa kukihama chama chake..kwa mtu wa kawaida mageuzi nikwenye Box tu.

Anonymous said...

Lowasa is not comparable to Obama in any way! As a matter of fact, Africa is the only continent where a politician accused of grand corruption can have the audacity to run for public office again! I don't who bewitched that continent; maybe you know him!