Advertisements

Friday, August 21, 2015

UPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE

Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.

Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.

Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.


Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

Chanzo: Aloyce Nyanda wa Radio Sengerema

3 comments:

Anonymous said...

Pole sana
Vijimambo naona mu watu wa ccm kwani kila mabaya ya ukawa huyaanika kwani ukawa hawana mazuri jamani?
Wekeni habari ya meno ya tembo Zurich tuchangie

Anonymous said...

Huo ni uongo. Ni mbinu kutaka kuonewa huruma na wapiga kura. Si mara ya kwanza kwa vituko kama hivi kutokea. Ilishatokea Kenya. Hiyo ni self arranged kidnapping. Mpe siku mbili tatu ataibuka.

kidoo said...

Ccm mtawajibika uyo Mbunge asipo onekana ndio mtatujua vizuri watanzania