ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 14, 2015

ALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM LEO

 Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi,  Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.
Wanafunzi na wakazi wa Tabata Muslim wakiwa kwenye mkutano huo.

Meza kuu inavyoonekana katika ufunguzi wa kampeni hiyo.
Mgeni Rasmi Bonah Kaluwa akiwa meza Kuu.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokoni.
Mgeni rasmi Bonah Kaluwa akiwa katika picha ya pamoja na wanawake wapinga ukatili wa kijinsia wa Tabata Muslim.
Mgeni rasm akiondoka eneo la mkutano.
Wasanii wa kundi la Machozi wakitpoa burudani katika uzinduzi huo.
Maofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakiwahamasisha wananchi kujaza fomu za kuwa mabalozi wa kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni. 
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)

No comments: