Advertisements

Sunday, September 20, 2015

CHATO YAZIZIMA WAKATI MAELFU WAKIHUDHURIA MKUTANO WA KAMPENI WA DKT. MAGUFULI LEO

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu. 
 Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia  katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu. 
 Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu. 
 Mama Janet Magufuli, mke wa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia  katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu. 
 Sehemu ya maelfu ya wananchi   katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari  mkutano wa kampeni 
Sehemu ya maelfu ya wananchi   katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari  mkutano wa kampeni.
Picha na Ahmad Michuzi Jnr.

No comments: