
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye mkutano wa saba wa kimataifa kuhusu namna ya kuzuwia Magonjwa Asili na Ulemavu katika Nchi zinazoendelea (ICBD) uliofanyika leo Septe 21,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Washiriki wa mkutano wa saba wa kimataifa kuhusu namna ya kuzuwia Magonjwa Asili na Ulemavu katika Nchi zinazoendelea (ICBD) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo Septe 21,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Wasanii wa kikundi cha Ngoma Troup wakiburudisha kwenye mkutano wa saba wa kimataifa kuhusu namna ya kuzuwia Magonjwa Asili na Ulemavu katika Nchi zinazoendelea (ICBD) uliofanyika leo Septe 21,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa mkutano wa saba wa kimataifa kuhusu namna ya kuzuwia Magonjwa Asili na Ulemavu katika Nchi zinazoendelea (ICBD) uliofanyika leo Septe 21,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa saba wa kimataifa kuhusu namna ya kuzuwia Magonjwa Asili na Ulemavu katika Nchi zinazoendelea (ICBD) uliofanyika leo Septe 21,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment