ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 24, 2015

DKT. SHEIN, MAALIM SEIF WASHIRIKI BARAZA LA EID EL-HAJJ MJINI ZANZIBAR LEO

Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis, Rais wa Zanzibar, Dkt. Alhaj Ali Mohammed Shein, Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar,Abubar Khamis Bakary Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, na Rais mstaaffu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakiwa kwenye baraza la Eid El Hajj, mjini Zanzibar leo Septemba 24, 2015. Waislamu kote Duniani wanasherehekea sikukuu ya Eid El Hajj
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa katiba na Sheria Mhe,Abubar Khamis Bakary mara alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza hilo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame mara alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza hilo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame mara alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza hilo leo kabla ya kukagua gwaride rasmi la Sherehe hizo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya Gwaride la KIKOSI cha Polisi FFU mara alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza hilo leo (kushoto)Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Zanzibar katika Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A,Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni katika sherehe za Sikukuu ya Eid El Hajj
Mke wa Makamo wa Pili wa rais wa zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (mwenye miwani) pamoja na Viongozi wengine mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo,mgeni rasmi katika baraza hilo akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi na wananchi walioalikwa katika mkurano wa Baraza la Eid El Hajj wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wialaya ya Kaskazini A mkoa wa kakskazini Unguja,palipofanyika Baraza hilo katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El Hajj wakati mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein

No comments: