ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 24, 2015

TANZIA

 MBUNGE WA ULANGA MASHARIKI, CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Celina Ompeshi Kombani enzi za uhai wake.

Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Ompeshi Kombani amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu huko nchini India.

Bi. Celina Kombani alizaliwa Juni 19 mwaka 1959 na kufariki leo Septemba 24 mwaka 2015.

Mungua ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!

No comments: