

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, LINDI.


Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, akimueleza Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, changamoto mbalimbali za wananchi wa Lindi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo lake hilo, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.
kadi za wanancha wa CCM zaidi ya elfu tatu (3000) wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi walioamua kuunga mkono mabadiliko ya UKAWA, zikiwekwa kwenye kiroba baada ya kukabidhiwa.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye wakionyesha kwa wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi, lundo la kadi za wanancha wa CCM zaidi ya elfu tatu (3000) walioamua kuunga mkono mabadiliko ya UKAWA, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, Mtama leo Septemba 23, 2015.


Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, wakimshangilia Mgombea Ubunge wao, Salum Barwany, alipokuwa akihutubia na kukonga nyoyo zao kwa kugusa moja kwa moja changamoto zinazowakabili na namna watakavyoweza kuzitatua iwapo watapata ridhaa ya uongozi.

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akifurahi jambo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany.

Uwanja wa Pilipili ulikuwa ni shangwe tupu, muda wote wa Mkutano.

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, kabla ya kumkaribisha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.







Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.









Wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi wakionyesha furaha yao kwa ujio wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, leo Septemba 23, 2015.


Vinaja wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi wakiishangilia Chopa anayoitumia Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, kawati ikiwasili kwenye eneo la Mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, leo Septemba 23, 2015.

Pipozzzzzzz........ Pawaaaaa......





Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, leo Septemba 23, 2015.
Wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi wakifatilia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, leo Septemba 23, 2015.




















9 comments:
Haya ndio matokeo ya utafiti uliotolewa leo kwenye magazeti!! Huyo jamaa amekula hela nzuri. Kumbe ni kinyume chake. Wananchi wamekuwa welevu wa kuelewa ipi pumba ipi mchele! Haya ni mavuno chama chetu kinayumba..! Imetosha..
Asanteni wana Mtama
Tena mumkomeshe 25 October
Anajifanya yeye anaijuwa CCM
Abakiye huko huko kuwa mpiga debe WA CCM
SAMAHANI,SASA WATU WA LINDI MNNATUCHANGAYA,UNAJUA TUNAJARIBU KUSHINDANISHA VISHINDO VYA MAPOKEZI YA MHESHIMIWA LOWASSA RAIS WETU WA AWAMU YA TANO TANZANIA, TUNAJARIBU KUFANYA MLINGANISHO WA SISI WA DAR-ES-SALAAM NA NYINYI WA KUSINI LINDI NA MTWARA.JANA JUMANNE TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 PALE MASASI MHESHIMIWA LOWASSA ALIPOKELEWA NA UMATI WA WANANCHI MILLION 2.2,TUKASHANGAA ULIKUA NI UTITIRI.HEEE TENA HIVI LEO MAMILLION YA WANANCHI WAMEMPOKEA NA KUMSIKILIZA MHESHIMIWA LOWASSA PALE MTWARA LEO JUMATANO TAREHE 23 SEPTEMBA 2015.AAAYI TENA MCHANA PALE MTAMA,PALE LINDI MJINI WANANCHI MILLION NNE MMEMPOKEA NA KUMSIKILIZA MHESHIMIWA LOWASSA.KILICHOTUKOSHA ZAIDI NI VIMBWANGA VYENU;UJUMBE WA MABANGO,KUJIANDIKA MWILINI,KWENYE NGUO,MAPIGO YA ZUMARI ZA AKINA MAMA,WINGI WA WAZEE WAKE KWA WAUME,VITUKO KEDE KEDE YAANI KWA NYINYI LINDI NA MTWARA UCHANGAMFU NA KUJITOA KWENU KWA MHESHIMIWA LOWASSA HAIJATOKEA TENA TANZANIA NZIMA HADI TAREHE YA LEO JUMATANO 23 SEPTEMBA 2015 ,MMEFUNIKA,MMETUFUNIKA HONGEENI SANA,SANA,SANA.TUNASEMA KATI YA WAPIGA KURA MILLION 3.15 MTWARA NA LINDI,MHESHIMIWA LOWASSA ATAPATA KURA MILLION TATU[3,000,000]KARIBUNI SANA WANANCHI WA MTWARA NA LINDI KWENYE WIKI YETU YA SHEREHE BAADA YA USHINDI MKUBWA WA TAREHE 25 OCTOBA 2015.TULE,TUNYWE,TUIMBE,TUTAMBE.
Anaeamini kuwa kadi hizo CCM zilizorejeshwa kuwa sio feki ni watu wa chadema na ukawa pekee yao kwa sababu wamezoea kudanganywa kila siku kama kuku.
Inaonekana kama hayo ni mahemko ya matokeo ya kura ya maoni inayoonyesha magufuli kamwaacha lowasa kwa mbali tu. Hata mkileta kadi laki moja mwaka maumivu mnayo tu magufuli ni chaguo la watanzania kwa sasa.
Bao la mkono hilo
Na ni mvua za rasha rasha hizo
Mambo 25 October
Utalia kilio cha mende
Miguu juu
NAPE
Hapa kazi tuuu kila kitu october 25 tingatinga ndani ya ikuluuu pipooz piwer ni popo bawaaaaa,,,,,,,
Tatizo la ndugu zetu hawa wa Ukawa ni kuwa hawasomi hata takwimu zinazoonyesha idadi ya watu kila mkoa, miji, vijiji na kadhalika na kuelewa ni watu wangapi kila wanakoenda kuhutubia. Wakiona watu wamejazani uwanjani wanafikiria tu kuwa ni mamilioni ya watu wako hapo. Pamoja na hayo wanafikiria pia kuwa kila mtu anayekwenda kwenye mikutano hiyo ni mwanachama au shabiki wa chama hicho bila kuelewa kuwa Watanzania bila kujali mwelekeo wa chama tuna tabia ya kujiunga na mkusanyiko wowote pale tunapoona watu wamekusanyika. Pia kuna wengine ambao wanajumuika na wenzao bila kujali chama wakipendacho ili kusikia yale yanayosemwa paomja na pia kuwa kunawengine wanafuatilia maswala ya siasa lakini huwa hawapigi kura kwa sababu wazijuazo wenyewe. Hata hivyo kwa wakati huu kule sana, imbeni sana na furahini sana maanake ifikapo Oktoba 25 hizo shamrashamra zenu zitakuwa zimefika ukingoni.
HATUBISHANI NA NYINYI CCM.SISI TUNATAMBA TUNASHANGILIA KWA UPANDE WETU.NYINYI KIHORO CHA NINI, ROHO ZENU KISOKOROMBINGO,WAPUUZI NYIE KAMA MNAVVYOSEMA KAZI 25 OCTOBA SASA MNAWEWESEKA NINI ILI KUWAPUNGUZIENI MSONGO WA MAWAZO MLIYOKUA NAO KWA SASA MAANA MMEFUNGA KWENDA CHOO CHA KAWAIDA, BALI MNAHARISHA,MKITOKA MSALANI JARIBUNI KUIMBA ULE WIMBO MAARUFU KABISA WA MSAGA-SUMU;TUNAMPENDA LOWASSA,LOWASSA HUYOO.WENZENU SISI WANANCHI AKHAAA ;KIROHO KWAATU NA LOWASSA WETU.
Mdau wa 12:40 AM anayo point nzuri, kwani watu wanadanganyika na mikusanyiko. Uwingi wa watu does not translate to votes kwani kwenye mikutano na mikusanyiko hakuna limitation au exclusion. Mtu yeyote anakaribishwa kutoka vichanga, vikongwe, au watoto wa shule. Hata kama mkoa mzima unahudhuria mkutano na hotuba, haina maana kwamba mkoa mzima utapiga kura. Watakaopiga kura pale lindi ni wachache sana, and the rest ni mashabiki kama ilivyo kila mahali Lowasa aendako.
Post a Comment