ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 26, 2015

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA LAPF WAZUNGUMZA NA WAADISHI WA HABARI MKOANI DODOMA

  Meneja masoko na mawasliano wa mfuko wa jamii wa LAPF, Bw, James Mlowe akifafanua jambo wakati alipokuwa anaongea na waandisha wa habari uliofanyika mjini Dodoma.
   Waandishi wa habari wakiwajibika katika ukumbi wa New Dodoma Hotel wakati Meneja masoko na mawasiliano wa mfuko wa jamii wa LAPF James Mlowe  alipokuwa akizungumza kuhusu maendeleo ya mfuko huo ambao unazidi kujitanua kutokana na Miradi mbalimbali ikiwemo ya majengo.
Maafisa wa mfuko wa jamii wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari nje ya ukumbi huo mara baada ya mkutano na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya mfuko huo ambao kwa sasa unalipa zaidi ya Bilion 151 kwa wastaafu bila kuteteleka.

No comments: