ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 23, 2015

MKONO WA EID AL HAJJ KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU

Bendi maarufu ya muziki wa dasni barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuniyenye makao kule Ujerumani inawatakia wadau wote mkono wa Eid el Hajj,bendi hiyo inawatakia kila la heri na baraka katika kusherekea siku hii ya Eid Al Hajj ,sikuu hii iwe ya amani,upendo na furaha. Ngoma Africa band inawapa mkono wa Eid Mubaraka.
usikote kufungua sikio at www.reverbnation.com/ngomaafricaband

No comments: