ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 23, 2015

USO KWA USO NA SENTI HAMSINI

Willy Mwambalaswa akipata ukodak moment na mwanamuziki wa kufokafoka wa nchini Marekani katika duka la vinywaji vikali la jijini Dallas, Texas siku 50 Cents alipokua dukani hapo akitangaza kinywaji chake cha Vodka kinachobeba jina la Effen.

2 comments:

Anonymous said...

Safi sanaaaaa.

Unknown said...

Babe yall look Gooooooooood!! Love u💋💋💋💋💜💛💚💚