Advertisements

Monday, October 5, 2015

BENKI YA POSTA TAWI LA DODOMA YAKABIDHI MSAADA WA KOMYUTA KATIKA SHULE YA TUMAINI ENGLISH MEDIUM ACADEMY

 Meneja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Dodoma Twaha Halfan (kushoto ) akimkabidhi Meneja wa Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma Jaffety Biseko Moja ya Kompyuta kati ya 10 ambazo zote kwa ujumla zina Thamani zaidi ya 4mil, kwa ajili ya kuimalisha darasa la kompyuta shuleni hapo hususani katika somo la tehama.
 Mwalimu Tabitha Isanzu wa somo la Tehama katika  chumba cha komputa katika shule ya Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma, akiwaelekeza wanafunzi namna ya kuandika kwa kutumia kompyuta.
baadhi ya wanafunzi wakiwa katika chumba cha kompyuta huku wakitumia kompyuta walizo pewa na Benki ya posta Tanzania  Tawi la Dodoma kwa kuendeleza na kukuza ufundishaji wa somo la tehama kwa shule za misingi
Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Dodoma Twaha Halfan akibadilishana mawazo na Meneja wa Shule ya Tumaini Medium Academy ya Nkhungu Dodoma Jaffety Biseko (Kulia) na Mkuu wa shule hiyo Bariki Jailo mala baada ya makabidhiano ya Kompyuta 10 zilizotolewa na Benki hiyo.

No comments: