Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa Michezi wa Jamhuri mjini Dodoma leo Oktoba 14, 2015. Kilele hicho cha mbio za Mwenge kimekwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 16 tangu kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
No comments:
Post a Comment