Sunday, October 25, 2015

JK APIGA KURA MSOGA, KATA YA MSOGA, WILAYA YA BAGAMOYO

Rais Jakaya Kikwete, akipiga kura kijijini kwake Msoga, Chalinze mkoani Pwani Jumapili Oktoba 25, 2015
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo


1 comment:

Anonymous said...

Naomba kujuzwa. huyu kaishi ikulu kwa miaka kumi(10) sasa si angalipiga kura kituo kilicho karibu na ikulu( Nyerere road).kwanini amekwenda kupiga Bagamyo??