ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 23, 2015

JK ZANZIBAR KWENYE KAMPENI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo na kuwaombea kura wagombea wote wa CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale jana katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba,(kulia) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi.
Maelfu ya Wananchi na WanaCCM wakisikiliza Maelezo yaliyotolewa na Wagombea nafasi za Uongozi wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba,katika uwanja wa Gombani ya kale jana.
Maelfu ya Wananchi na WanaCCM wakisikiliza Maelezo yaliyotolewa na Wagombea nafasi za Uongozi wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba,katika uwanja wa Gombani ya kale jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakati mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba katika uwanja wa Gombani yakale jana,Picha na Ikulu.

2 comments:

Anonymous said...

Maji ya shingo bibi haya
Na ukubwa wote WA chama miaka 54
Hallo wetu maalim Sefu Zanzibar bara Lowassa

Anonymous said...

Hivi nyinyi mtaelezwa vipi ili muweze kuelewa kuwa Watanzania hawataki muungano kuvunjwa na hivyo hawatawachagua wagombea wenu badala yake wanawachagua madaktari wawili, Dk. Magufuli na Dk Shein ili waendeleze mshikamano wetu!!

Magufuli na Shein pamoja na chama cha CCM Oyeee!!