ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 23, 2015

LOWASSA KATIKA KAMPENI HANDENI NA KILINDI MKOANI TANGA

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga jana.
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akisaalimiana na watoto baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga jana.
Ofisa wa Polisi akitoa heshima wa Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, katika mkutano wa kampeni wilayani Handeni mkoani Tanga jana.

No comments: