Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibaha mjini katika mkutano wa kampeni leo tarehe 22 mwezi wa kumi mwaka 2015.
Wananchi waloshiriki mkutano wa kampeni wa Dr. John Pombe Magufuli mjini Kibaha wakiwa na bango lenye ujumbe wa pumzika kwa amani UKAWA.
Baadhi ya wafuasi wa chama cha mapindzi CCM wakiwa wanaoshangilia na wengine walojichora miili yao wakimsikiliza Dr. Jo.hn Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni ulofanyika mjini Kibaha
4 comments:
RIP CCM
Lowassa ndo habari ya mujini
Magufuli ni mtu hadimu ni gift, watanzania wanakila sababu ya kujivunia kuwa nae.
Kwa ufisadi yes you are absolutely right!
No doubt Lowassa is Fisadi and this is the major reason why majority of Tanzanian voters are not going to give him their votes.
Post a Comment