Advertisements

Monday, October 12, 2015

Kipindi cha JUKWAA LANGU Oct 5 2015 jumatatu hii kiataanza saa 11 jioni ET

Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Katika kipindi cha wiki hii, mbali na habari mbalimbali zilizotawala vyombo vya habari, pia wasikilizaji walipata nafasi ya kutoa maoni kulingana na mambo mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania
KARIBU

Kipindi cha JUKWAA LANGU leo J3 kItaanza saa 11 jioni badala ya saa 12 ET
Kwa kusikiliza na kuchangia mada piga simu 240 454 0093 na ukipenda kuchangia boneza *5 pia unaweza kutupata kupitia tovuti zetu www.kwanzaproduction.com au www.vijimamboradio.com au www.borderradio.com pia ukipenda tunein tafuta Vijimambo radio

Kwa Tanzania kipindi hiki kitasikika mida ya saa 6 usiku karibuni bila kukosa

No comments: