Saturday, October 24, 2015

LOWASSA AMALIZA KAMPENI KWA KISHINDO

Mh Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kufunga kampeni zake Jangwani
Mamia n mamia wakifuatilia mkutano wa UKAWA.

Wananchi wakihudhuria mkutano wa UKAWA jangwani.
Mfuasi wa UKAWA akifuatilia mkutano.
Mkutano ukiendelea.
Wafuasi wa UKAWA wakifuatilia mkutano wa mwisho wa kampeni Jangwani siku ay Jumamosi October 24, 2015.
Ni mabango kwa kwenda mbele.
Tumaini letu ni Lowassa.
Mkutano ukiendelea katika viwanja vya Jangwani.
Wafuasi wa UKAWA wakifuatilia mkutano wao wa mwisho.

Wafuasi lukuti wakiwa kwenye mkutano wa mwisho wa UKAWA.

No comments: