Saturday, October 24, 2015

SALAMU KUTOKA KWA WENYEKITI WA CCM TAWI LA NEW YORK NA VITOGOJI VYAKE BWANA SEIF AKIDA !!



Mwenyekiti wa tawi la CCM Bwana Seif Akida anawatakia Watanzania wote uchaguzi mwema wenye amani.
Tuwakemee wachochezi wa aina yoyote ili tuweze kuvuka kwa salama na amani.
Wanadiaspora tunawatakia uchaguzi mwema. Maombi na sala zetu tunazielekeza kwenu mlio nyumbani Tanzania.
Ameen.


Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Ibariki Africa.
  
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York  Bwana Seif Akida, wakiwa nyumbani kwa Ny Ebra Brooklyn pamoja na Mzee Lucas wakipata kinywaji na uku wakisikilizia mambo yatakuwaje juu ya uchaguzi huko nyumbani Tanzania.
Habari ndiyo hii Tanzania Oyee Amani na Upendo wa ndani na nnje ndiyo nguzo yetu tuliyo rithishwa na baba wa Taifa.

3 comments:

Anonymous said...

hii ni sheedah tumewasoma matangazoni!!

Jay said...

Umeona enheee.

Anonymous said...

Hongera nyingi CCM.