Saturday, October 24, 2015

MAALIM HASSAN YAHYA ATABIRI MSHINDI WA URAIS 2015

2 comments:

Anonymous said...

Eti siwajui majina ya wagombea, haya mambo ya ufeki wa kutabiriwa kila kitu katika nchi yetu. UCHAWI...UCHAWI.....UCHAWI MTUPU. Haya magazeti ya Shigongo yanaandika mambo ya kichawi kutokana na sehemu aliyotoka, Badala ya kuelimisha yana-promote mambo ya kishirikina. Mtu akifa kwa ajali, kwa magonjwa kwa kuuawa inadhaniwa ni uchawi tu na magazeti ya globalpublishers!! Aibu ndiyo maana tunaendelea kubaki nyuma siku zote kwa sababu badala ya kufikiria na kufanya mambo wanayoyafanya wenzetu na majirani zetu.....wengine wanaturudisha nyuma kwa mambo ya ushirikina na mazingaombwe.

Anonymous said...

Wewe ni mwongo mkubwa sana. Ondoa upuuzi wako