ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 22, 2015

PICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi Maryland, DC na Virginia (DMV) amekuwa akivunja rekodi kwenye historia za mbio za ubunge jimbo la Mbarali kwa kukusanya vijana na watu wa rika mbalimbali wengi kuliko ilivyo wahi tokea jimboni Mbarali. 

 Juu na chini: Libe katika ubora wake
 Juu na chini: George Tito aka Mbu Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Mbeya akimnadi Mh. Mwang'ombe


 Mh. Mwang'ombe akikabidhi kadi ya CHADEMA barabarani 
Mh. Mwang'ombe amekuwa akisimamishwa barabarani watu wakitaka azungumze naye
 Shabiki akifuta kiatu cha Mh. Mwang'ombe
 Wana wa Mbarali wanata Libe. Wana taka picha na Libe
 Wangipi watampa kura Mwang'ombe
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;

M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409

Au, wasiliana na: 
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia  240 593 5973
Jabil  240 604 0574 

No comments: