Familia ya Neema Marcos(Mama Susan) na Susan Malima wanapenda kutoa Shukurani kwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na mtumishi wa Mungu Dr. Mordi walioweza kufika kuwafariji Katika msiba wa Mtoto/Kaka yao Mpendwa Raymond Malima.
Asanteni sana kwa michango yenu ya hali na mali mliojitolea katika kusaidia kwenye Msiba huu..
Mungu awabariki wote sana na awazidishieni kwa pale pote palipopungua..... Amen
"Bwana Ametoa Na Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe".... Amen !
No comments:
Post a Comment