Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.
Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....
Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may occupy our attention, but they do not define us. By Mitt Romney
4 comments:
Mueshimiwa Odinga watanzania tunakuheshimu sana kwa kuwa uliliepusha taifa la kenya kuingia katika machafuko. Ila usipoteze wakati wako kwa mtu ambae hata hiyo nafasi ya kugombea uraisi kaipata kwa njia ya rushwa. Huyo mzee wa ki tz haamini kabisa kama mtu anaweza kujipatia haki yake kwa njia ya halali anachoamini yeye hakuna kinachopatikana isipokuwa kwa njia ya wizi tu, dah! Pole sana mzee lowasa.
ama kweli subiri uone,na sasa tunaanza kujionea.raila oginga odinga ni raia wa kenya na kama ni mfuatiliaji mzuri utaona kuwa pongezi zake kwa magufuli zilikua zimewahi kuliko pongezi toka kwa watanzania wenyewe.tatizo lililopo hapa ni kuwa lugha ya kishenzi,kipuuzi,kihuni aliyoitumia eti kuwa ikiwa lowassa ana malalamiko basi ni vyema akaendamahakamani.nasema hapa raila ameonyesha wazi kuwa ana kichwa chenye ubongo wa panzi.kitu asichokielewa ni kwamba sheria kandamizi za tanzania haziruhusu shauri la aina hii kupelekwa mahakamani.labda angetuambia inawezekana kufungua shauri hili nchini mwake,kenya.tuendelee.kenya ina maslahi mapana sana katika suala zima la kuutawala uchumi wa tanzania.uwiano wa kibiashara unonyesha wazi kuwa kenya inatawala masoko ya biashara na uchumi wa tanzania kwa uwiano wa :80 kwa 20.raila ndiye mwenye makampuni mengi yanayofanya biashara nchini tanzania kuliko watawala-uchumi wakenya wengineo.hapa raila anafurahia kumpata rafiki wa kumkalia kichwani.yaani yametukuta, NEC NA CCM wametuibia kura na watatutawala kwa miaka mingine mitano.
NIMEKUONA RAILA,UNATISHA:MDOMO UMEPINDA MITHILI YA RAINBOW,MACHO MEKUNDU,AKILI FINYU NA MAWAZO MABAYA.RAILA YA TANZANIA NI YA WATANZANIA,HAYAKUHUSU, SUBIRI KIPIGO KINGINE TOKA KWA UHURU. AU UNAWEWESEKA NAKUMART YAKO ITATAIFISHWA?
Well expressed Mhe.Odinga. Watanzania tunakukumbuka sana kwa busara na utashi wako uliowezesha kenya kuepukana na janga kubwa. I wish Africa had many leaders of your kind and caliber.
Post a Comment