ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 22, 2015

SHUKURANI ZA DHATI

Familia ya Aminiel Mrutu (Tanzania) na Agnes Mrutu (Columbia Missouri USA) wanapenda kutoa shukurani kwa ndugu, majirani, na marafiki (USA na Tanzania) ikiwa pamoja na ofisi ya ubalozi wa Tanzania (USA) na Blog yetu ya Vijimambo kwa misaada na kutufariji katika msiba wa Mama yetu mpendwa Joan Mrutu.

Ahsanteni sana kwa michango yenu ya hali na mali mliojitolea katika kufanikisha safari ya mfiwa na mazishi ya mama yetu mpendwa.

Mungu awabariki wote sana na awazidishie upendo na baraka. Ameni.

No comments: