Advertisements

Wednesday, October 28, 2015

WAJUMBE WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR WATOFAUTIANA NA MWENYEKITI WAO

1 comment:

Anonymous said...

Huyo mwenyekiti wenu wa tume baada ya kuwaeleza wakubwa wa serikali kuwa wameshindwa, wakamwambia aharibu huo uchaguzi. Sijui itakuwa aibu kiasi gani hata CCM wakilazimisha uchaguzi urudiwe na wakalazimisha kuiba kura akashinda Shein.....Hivi atakuwa anaongea bila haya akitegemea wananchi watamsikiliza kweli?. Huyo mwenyekiti kwanza hana sifa kama ilivyo wa NEC, wote ni vibaraka wa chama tawala hivyo chochote wanachoambiwa wanafuata. HIVI KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUJIAMULIA MWENYEWE KUFUTA UCHAGUZI BILA SABABU YA MSINGI NA BILA KUWASILIANA NA KAMATI YA ZEC NA MAJAJI AMBAO NI WASHAURI? Kweli ndugu zangu tumepoteza reputation ya taifa letu. TANZANIA YA LEO INAONGOZWA NA WAHUNI NA POLISI WANAOTUMWA KAMA MIJIBWA WAKAUWE WATANZANIA WASIO NA HATIA NA WANAODAI HAKI ZAO KWA AMANI. TUMEFIKA KUBAYA AMBAKO HATUSTAHILI!!