Meneja wa Azania Bank ,Hajira Mmambe akitia saini katika kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.Jeshi Lupembe (kulia). |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akipokea rasmi msaada kutoka benki ya Azania uliowasilishwa na Meneja wa benki hiyo ,Hajira mmambe kwa ajili ya kufanyia usafi. |
2 comments:
Yaani hata saala.la usagi linachangiwa na benki!! Mambo yaleyale!! Mbona wasichangie shule, ujenzi wa barabara, hospitali! Ujenzinwa vyoo imara mashuleni tuondokane na vyo vya shimo kudidimia na kuleta maafa. Kila mwananchi aje na ufagio, chepe, zoleo na hata fyekeo!! Hiyo pesa utakuta milioni 5 zimenunua fagio ngapi??
Nafungua nisome zaidi najua nitakuta vitu vya maana vimetolewa kumbe ni fagio
Post a Comment