ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 16, 2015

MADA MOTO, UCHAGUZI NA HALI YA KISIASA ZNZ

1 comment:

Anonymous said...

Mimi nashangazwa sana na baadhi ya watu wanaojiita watu wa upizani hasa kutoka Tanzania bara kushabikia kitu wasichokijua mwanzo wala mwisho wake. Maana kama wewe ni mtanzania na unatokea Tanzania bara kuisapoti CUF Zanzibar ni kujikataa wewe mwenyewe binafsi kukubalika ndani ya eneo la Tanzania au tuseme la Afrika maana sera ya CUF ZANZIBAR siku zote zimekuwa zikikadhania kuwabagua watu wa bara. Na wameweka wazi wakipata serikali wanavunja muungano na sio kama hawajui faida za muungano kwa upande wa Zanzibar? Wanajua kakini kwa wao kuwepo kwa watu wa bara Zanzibar na kujishughulisha na shughuli zao za maisha kama raia wengine ni kitu kisichokubalika. Kwa hivyo yale aliyowahi kuyasema mwalimu nyerere kuhusiana na kusambaratika kwa Tanzania kutokna na zambi za ubaguzi naona utabiri wake upo karibu sana kukamilika .